József Beck (alizaliwa Februari 14, 1952, Budapest, Hungaria,) [1] ni Profesa wa Hisabati katika Chuo Kikuu cha Rutgers. [2]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu József Beck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |