Karatina

Shule ya wototo wenye upungufu wa Akili kwenye mji wa Karatina
Wanafunzi wakicheza michezo kwenye mojawapo ya mitaa ya Karatina


Karatina
Nchi Kenya
Kaunti Nyeri
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 23,552

Karatina ni mji mdogo wa Kenya katika Kaunti ya Nyeri.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 ulikuwa na wakazi 23,552[1].