Karuma ni makazi katika Mkoa wa Magharibi huko nchini Uganda.
Karuma iko katika wilaya ya Kiryandongo, mkoa mdogo wa Bunyoro. Ni takribani kilomita 2.7 (maili 1.7), kwa barabara, kaskazini mwa Maporomoko ya Karuma (Karuma Falls).[1]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Karuma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |