Kellé ni mji uliopo katika Jamhuri ya Kongo, mkoa wa Cuvette Magharibi.
Mwaka 2007 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 6,298 [1].
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kellé kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |