Kelvin Pius John | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Tarehe ya kuzaliwa | 10 Juni 2003 | |
Mahala pa kuzaliwa | Morogoro, Tanzania | |
Timu ya taifa | ||
Timu ya Taifa ya Tanzania | ||
* Magoli alioshinda |
Kelvin Pius John, (alizaliwa 10 Juni 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Tanzania, anayechezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji na Timu ya Taifa ya Tanzania.
Pia John alijiunga na klabu ya chuo ya Brooke House College (2019 - 2022).[1][2][3]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kelvin John kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |