Kenya National Congress ni chama cha siasa nchini Kenya kilichoanzishwa mwaka 1992 siku wakati wa siku za kwanza ya kurudi kwa Demokrasia ya vyama vingi kama matokeo ya mgawanyiko katika FORD-Asili.[1] Mara kwa mara, imekuwa ikiwajumuisha wagombea katika uchaguzi mkuu tangu mwaka 1992 katika ngazi ya Ubunge.
Chama hichi kilimdhamini mbunge wa Gatanga Peter Kenneth, ambaye alionyesha jitihada zake za urais kwenye tiketi ya chama,[2][3] pamoja na muungano kati yake na Raphael Tuju wa Chama cha Action[4] Malengo yaliyowekwa na KNC kwa mujibu wa tovuti yake rasmi, ni 'Kenya kama taifa lenye ufahari na mafanikio ambalo linatunza raia wake wote na mali zao matumaini ni kujiamini na kufanikiwa miongoni mwa Wakenya wote ndani na nje ya nchi'.[5]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)