Khulane Morule (alizaliwa Agosti 27, 1982), anajulikana zaidi kwa jina lake la sanaa Khuli Chana, ni rapa wa Motswako nchini Afrika Kusini.
Morule alizaliwa Mmabatho, Mkoa wa Kaskazini Magharibi na alianza kurap motswako akiwa na umri mdogo. [1] Alikuwa mwanachama wa kikundi cha rap kiitwacho Morafe. [2] Kisha akaendelea kwenda peke yake, baada ya kikundi hicho cha rap kuvurugika [3]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Khuli Chana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |