Kiagta ya Casiguran ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waagta. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiagta ya Casiguran imehesabiwa kuwa watu 610. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiagta ya Casiguran iko katika kundi la Kifilipino.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiagta cha Casiguran kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |