Kiaka-Kol ilikuwa lugha ya Kiandamani nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wakol visiwani mwa Andaman. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kiaka-Kol tena yaani lugha imetoweka kabisa.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiaka-Kol kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |