Kiambai ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waambai kwenye kisiwa cha Ambai. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiambai imehesabiwa kuwa watu 10,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiambai iko katika kundi la Kiyapen.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiambai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |