Kibahing

Kibahing ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wabahing. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kibahing imehesabiwa kuwa watu 11,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibahing iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibahing kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.