Kibaki

Kibaki ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wabaki kwenye kisiwa cha Epi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibaki imehesabiwa kuwa watu 350. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaki iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibaki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.