Kibhilali

Kibhilali ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wabhilali. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibhilali imehesabiwa kuwa watu 681,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibhilali iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibhilali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.