Kibiao

Kibiao ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wabiao. Serikali huwaangalia kuwa Wahan. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kibiao imehesabiwa kuwa watu 80,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibiao iko katika kundi la Kikam-Sui.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibiao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.