Kibidayuh ya Bau (pia Kijagoi) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wabidayuh. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibau imehesabiwa kuwa watu 29,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibau iko katika kundi la Kiland-Dayak.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibidayuh-Bau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |