Kibiga ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabiga kwenye kisiwa cha Misool. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibiga imehesabiwa kuwa watu 300 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibiga iko katika kundi la Kiraja-Ampat.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibiga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |