Kibingo, Uganda

Mahali pa Kibingo katika ramani Uganda Kama ambavyo inaonekana kwa majiranukta 00°34′12″S 30°24′54″E / 0.57000°S 30.41500°E / -0.57000; 30.41500

Kibingo ni mji ulioko katika Mkoa wa Magharibi huko Uganda. Ni mahali pa makao makuu ya wilaya ya Sheema.

Kibingo uko kwenye barabara kuu ya Mbarara - Bushenyi, takribani kilomita 31 (maili 19), kwa barabara, magharibi mwa Mbarara, jiji kubwa zaidi katika mkoa mdogo wa Ankole.[1]

  1. GFC, . (5 Julai 2015). "Map Showing Mbarara And Kibingo With Route Marker". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 5 Julai 2015. {{cite web}}: |first= has numeric name (help)CS1 maint: date auto-translated (link)