Kidavawenyo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wadavawenyo. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kidavawenyo imehesabiwa kuwa watu 147,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidavawenyo iko katika kundi la Kifilipino.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidavawenyo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |