Kideori ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wadeori. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kideori imehesabiwa kuwa watu 28,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kideori iko katika kundi la Kisal.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kideori kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |