Kiefate-Kusini ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Waefate kwenye kisiwa cha Efate. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiefate-Kusini imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiefate-Kusini iko katika kundi la Kioseaniki.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiefate-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |