Kifutuna-Aniwa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wafutuna na Waaniwa kwenye visiwa vya Futuna na Aniwa. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kifutuna-Aniwa imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifutuna-Aniwa iko katika kundi la Kioseaniki.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kifutuna-Aniwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |