Kigorowa ni lugha ya Kiafrika-Asia nchini Tanzania inayozungumzwa na Wagorowa. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kigorowa imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi Kigorowa iko katika kundi la Kikushi.
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigorowa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |