Kiha ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Waha.
Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiha imehesabiwa kuwa watu 990,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiha kiko katika kundi la D60. Kiha kinafanana na Kinyarwanda na Kirundi. Ni lugha inayo kua kwa kasi zaidi ya lugha za kibantu zipatikanazo ndani Tanzania. Kwa sasa inatumika kama Lugha ya kiungo kwenye muziki wa Bongo Flava.
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |