Kihre ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Wahre. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kihre imehesabiwa kuwa watu 94,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihre iko katika kundi la Kibahnariki.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihre kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |