Kihunde

Kihunde ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wahunde. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihunde iko katika kundi la J50.

Mwaka wa 1980 idadi ya wasemaji wa Kihunde imehesabiwa kuwa watu 200,000. Japo kuna mkanganyiko wa asili yao, Wahunde wanapatikana Mkoa wa Kivu Kaskazini, wilaya ya Goma, Masisi na Rutchuru. Mpaka sasa hivi wameenea Kongo nzima.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihunde kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.