Kituwali (au Kiifugao-Tuwali) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Watuwali. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kituwali imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kituwali iko katika kundi la Kifilipino.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiifugao-Tuwali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |