Kikaningra

Kikaningra ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakaningra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikaningra imehesabiwa kuwa watu 300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaningra iko katika kundi la “Sepik Hill”.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaningra kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.