Kikaraboro-Magharibi (au Kisyer-Tenyer) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wakaraboro. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikaraboro-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 30,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaraboro-Magharibi iko katika kundi la Kigur.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikaraboro-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |