Kikaren cha S'gaw

Kikaren ya S'gaw ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uthai inayozungumzwa na Wakaren. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kikaren ya S'gaw nchini Myanmar imehesabiwa kuwa watu 1,280,000. Pia kuna wasemaji 200,000 nchini Uthai (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikaren ya S'gaw iko katika kundi la Kikareniki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaren cha S'gaw kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.