Kikatua ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Wakatua. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikatua imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikatua iko katika kundi la Kibahnariki.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikatua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |