Kikhmer-Kaskazini ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uthai inayozungumzwa na Wakhmer-Kaskazini. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikhmer-Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 1,400,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikhmer-Kaskazini iko katika kundi la Kikhmer.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikhmer-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |