Nkiruka 'Kiki' Omeili (alizaliwa Lagos, 31 Mei 1986) ni mwigizaji wa kike kutoka Nigeria, maarufu kwa jina la Lovette katika tamthilia ya Lekki Wives.[1]; pia ameigiza katika filamu ya Gbomo Gbomo Express akicheza pamoja na Gideon Okeke.
Omeili ni mtoto wa pili kati ya wanne wa Charles Maureen Omeili. Baba yake alikuwa mfanyakazi wa benki katika First Bank of Nigeria na alistaafu akiwa kama Meneja mkuu wa benki. Mama yake alikuwa akifanya kazi gerezani katika mji wa Ibadan, Oyo State, Nigeria.
Omeili alianza sanaa ya maigizo akiwa shule ya msingi na shule ya upili na aliendelea na sanaa ya maigizo hadi alipofika chuo kikuu na alikuwa mwanachama wa klabu ya waigizaji huku akishiriki mashindano mbalimbali. Mwaka 2006, alipata shahada ya tiba katika chuo kikuu cha Lagos.[2]
Omeili amekua akijihusisha na masuala mbalimbali za kusaidia watu akishirikiana na shirika la Project Pink Blue. Aliongoza matembezi ya kuhamasisha utambuzi wa saratani akisaidia mashirika yasiyo ya kiserikali kutafuta fedha na kuhamasisha utambuzi juu ya saratani hasa kwa kutumia mitandao ya kijamii.[3][4][5]
Mwaka | Tukio | Tuzo | Aliepokea | Matokeo |
---|---|---|---|---|
2012 | Tuzo za filamu za Afrika[6] | Muigizaji bora wa kike – Mhusika msaidizi katika filamu ya Kiingereza(Married but Living Single) | Kiki Omeili | Kigezo:Mshindi |
2014 | Tuzo za ELOY[7] | Muigizaji bora wa kike katika filamu za televisheni (Lekki Wives) | Hakuna taarifa | Kigezo:Mshiriki |
2015 | Tuzo za GIAMA 2015[8] | Muigizaji bora wa kike - Mwanamke (Sting - The Movie) | Kiki Omeili | Kigezo:Mshindi |
Katika tamasha za filamu fupi[9] | Muigizaji bora wa kike - Mwanamke (Deluded - Short Film) | Kiki Omeili | Kigezo:Mshindi | |
2016 | City People Entertainment Awards | Muigizaji bora msaidizi wa kike | Kiki Omeili | Kigezo:Mshindi |
Lagos 30 tuzo za wenye umri chini ya miaka 40 | Muigizaji bora wa kike - English | Kiki Omeili | Kigezo:Mshindi | |
FilmFest International Awards (Berlin 2016) | Muigizaji bora wa kike katika filamu fupi | Kiki Omeili | Kigezo:Mshiriki |
Mwaka | Jina | Uhusika | Muongozaji | Maelezo | |||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2011 | Behind the Smile | Debbie | Tunde Olaoye | Muigizaji mkuu | |||||
2011 | Nowhere to be Found | Dr. Grace | Niji Akanni | Maonyesho ya Televisheni | |||||
2011 | Footprints | Edna | Jerry Isichei | Mhusika Msaidizi/Maonyesho ya Televisheni | |||||
2012 | Married but Living Single | Titi Haastrup | Tunde Olaoye | Filamu aliyoshiriki | |||||
2012 | NESREA Watch | Mrs. Irabor | Paul Adams | Tamthilia ya Televisheni | |||||
2012 | Binding Duty | Njide | Ihria Enakimio | Maigizo ya Televisheni | |||||
2012 | The Valley Between | Nikki | Tunji Bamishigbin | Mhusika Msaidizi/Maonyesho ya Televisheni | |||||
2012 | Gidi Culture | Mariam | Tunde Anjorin | Mhusika Msaidizi | |||||
2012 | A Mother's Fight | Uru | Flo Smith | Mhusika Msaidizi/Imeandaliwa na Uche Jombo | |||||
2012 | Lekki Wives | Lovette | Blessing Effiom Egbe | Mhusika Mkuu | |||||
2013 | Kpians: The Feast of Souls | Kiki Ofili | Stanlee Ohikhuare | Filamu ya kutisha akimshirikisha Ashionye Ugboh-Raccah | |||||
2013 | Consenting Adults | Seun | Soji Ogunnaike | Filamu aliyoshiriki; mhusika mkuu Nomoreloss | |||||
2013 | 24/7 | Barrister Ekanem | Efetobore Ayeteni | Filamu aliyoshiriki wahusika wakuu wakiwa ni IK Osakioduwa, Eku Edewor na Wole Ojo | |||||
2013 | Oblivious | Lucy | Stanlee Ohikhuare | Filamu aliyoshiriki | |||||
2013 | Lekki Wives (Season 2) | Lovette | Blessing Effiom Egbe | Mhusika Mkuu/Maonyesho ya Televisheni | |||||
2013 | Sting | Ada | Stanlee Ohikhuare | Filamu aliyoshiriki | |||||
2013 | The Glass House | Ese | Jerry Isichei | Filamu aliyoshiriki | |||||
2014 | The Antique | Isoken | Darasen Richards | Filamu aliyoshiriki mhusika mkuu akiwa Olu Jacobs, Bimbo Akintola na Judith Audu | |||||
2014 | Same Difference | Nonye | Ehizojie Ojesebholo | Filamu aliyoshiriki mhusika mkuu akiwa Ricardo Agbor na Daniel K Daniel | |||||
2014 | A Dead End | Biola | Ehizojie Ojesebholo | Filamu aliyoshiriki mhusika mkuu akiwa Barbara Sokky, Seun Akindele na Uche Anyamele | |||||
2014 | Next Door to Happiness | Tinuke | Uzodimma Okpechi | Filamu aliyoshiriki mhusika mkuu akiwa Frederick Leonard | |||||
2014 | A Place Called Happy | Teni | LowlaDee | Filamu aliyoshiriki mhusika mkuu akiwa Blossom Chukwujekwu | |||||
2014 | Friends na Lovers | Jenny | Yemi Morafa | Filamu aliyoshiriki mhusika mkuu akiwa Deyemi Okanlawon | |||||
2014 | +234 | Sandra Lawson | Soji Ogunnaike | Drama Series mhusika mkuu akiwa Tosyn Bucknor, Tope Tedela na Anthony Monjaro | |||||
2015 | Gbomo Gbomo Express | Blessing | Walter Taylour | Filamu aliyoshiriki - mhusika mkuu akiwa Ramsey Nouah | |||||
2015 | Jimi Bendel | T-boy | Ehizojie Ojesebholo | Action Comedy film[10] | |||||
2016 | Fast Cash | - | Okey Zubelu Okoh | Filamu aliyoshiriki - mhusika mkuu akiwa Mary Lazarus, Oma Nnadi, Funnybone | |||||
2016 | What Makes You Tick | - | Efetobore Ayeteni | Filamu aliyoshiriki - mhusika mkuu akiwa Seun Akindele, Mary Lazarus, Wole Ojo, Toyin Abraham | |||||
2016 | Iterum | Ireti | Stanlee Ohikhuare | Filamu fupi iliyoonyeshwa huko Paris Ufaransa | 2016 | Fast Cash | Okey Zubelu | Filamu aliyoshiriki | |
2016 | Blame It on Me | - | Ikechukwu Onyeka | Filamu aliyoshiriki | |||||
2016 | The Happyness Limited | - | Imoh Umoren | Filamu aliyoshiriki | |||||
2016 | Double bind | Lead | Emmanuel Akaemeh | Filamu aliyoshiriki featuring Ifeanyi Kalu, Ujams Cbriel, Mary Chukwu | |||||
2016 | This Thing Called Marriage | - | Blessing Egbe | Filamu aliyoshiriki | |||||
2016 | Moth To A Flame[11] | Joan | One Soul | Filamu aliyoshiriki - Femi Jacobs, Shaffy Bello, Paul Utomi | |||||
2017 | Echoes of Silence | - | Okey Ifeanyi | Filamu aliyoshiriki | |||||
2017 | Low lives na High Hopes | - | Frankie Ogar | Filamu aliyoshiriki | |||||
2017 | Light in the Dark | - | Ekenem Ekwunye | Filamu aliyoshiriki | |||||
2017 | What Lies Within[12] | Miss Dimeji | Vanessa Nzediegwu | Filamu aliyoshiriki mhusika mkuu akiwa Michelle Dede, Tope Tedela, Paul Utomi | |||||
2017 | Sunday na Lolade | Lolade | Yomi Black | Filamu ya vichekesho | |||||
2017 | Public Property | Tope Alake & Ashionye Mihcelle Raccah | Filamu aliyoshiriki | ||||||
2019 | Run | Tomi | Uche Chukwu | Filamu aliyoshiriki, imeandaliwa na Kiki Omeili |
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiki Omeili kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |