Kikorwa ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakorwa. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikorwa imehesabiwa kuwa watu 34,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikorwa iko katika kundi la Kimunda.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikorwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |