Kikucong ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Vietnam na Uchina inayozungumzwa na Wakucong. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikucong imehesabiwa kuwa watu 40,000 nchini Uchina na 6870 nchini Vietnam. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikucong iko katika kundi la Kingwi.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikucong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |