Kilodhi

Kilodhi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Walodhi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kilodhi imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilodhi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilodhi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.