Kimaewo

Kimaewo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wamaewo kwenye kisiwa cha Maewo. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimaewo imehesabiwa kuwa watu 1400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaewo iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimaewo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.