Kimakuva

Kimakuva ni lugha ya Kiaustronesia nchini Timor ya Mashariki inayozungumzwa na Wamakuva. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kimakuva imehesabiwa kuwa watu 56 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimakuva iko katika kundi la Kitimor-Babar.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimakuva kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.