Kimalay cha Kupang

Kimalay ya Kupang ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamalay kwenye kisiwa cha Timor. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Kupang imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay ya Kupang iko katika kundi la Kimalayiki. Wengine huiangalia kama krioli.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalay cha Kupang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.