Kimatuumbi ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wamatuumbi. Mwaka wa 1978 idadi ya wasemaji wa Kimatuumbi imehesabiwa kuwa watu 72,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimatuumbi iko katika kundi la P10.
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimatuumbi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |