Kimelanau cha Daro-Matu

Kimelanau ya Daro-Matu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wamelanau. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kimelanau ya Daro-Matu nchini Malayasia imehesabiwa kuwa watu 7600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimelanau ya Daro-Matu iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimelanau cha Daro-Matu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.