Kimelanau ya Kanowit-Tanjong ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wamelanau. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimelanau ya Kanowit-Tanjong nchini Malayasia imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimelanau ya Kanowit-Tanjong iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimelanau cha Kanowit-Tanjong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |