Kimori-Atas (pia Kiaikoa) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamori kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kimori-Atas imehesabiwa kuwa watu 14,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimori-Atas iko katika kundi la Kicelebiki.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimori-Atas kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |