Kimukha-Dora ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamukha-Dora. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kimukha-Dora imehesabiwa kuwa watu 29,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimukha-Dora iko katika kundi la Kikonda.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimukha-Dora kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |