Kina-Meo ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Vietnam inayozungumzwa na Wamieu. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kina-Meo imehesabiwa kuwa watu 1200. Uainishaji wa lugha wa Kina-Meo kwa ndani zaidi haujulikani.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kina-Meo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |