Kinaga cha Konyak

Kinaga ya Konyak ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Myanmar inayozungumzwa na Wanaga. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kinaga ya Konyak nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 248,000. Pia kuna wasemaji 2000 nchini Myanmar (2010). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinaga ya Konyak iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinaga cha Konyak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.