Kinasarian ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wanasarian kwenye kisiwa cha Malekula. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kinasarian imehesabiwa kuwa watu watano tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinasarian iko katika kundi la Kioseaniki.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinasarian kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |