Kinengone ni lugha ya Kiaustronesia nchini Kaledonia Mpya inayozungumzwa na Wanengone. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kinengone imehesabiwa kuwa watu 8720. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinengone iko katika kundi la Kioseaniki.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinengone kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |