Kingalum ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia na Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wangalum. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kingalum nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu 10,000. Pia kuna wasemaji 8000 nchini Papua Guinea Mpya (1981). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingalum iko katika kundi la Kiok.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kingalum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |