Kinggem ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanggem. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kinggem imehesabiwa kuwa watu 4400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinggem iko katika kundi la Kidani.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinggem kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |