Kinumee

Kinumee ni lugha ya Kiaustronesia nchini Kaledonia Mpya inayozungumzwa na Wanumee. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kinumee imehesabiwa kuwa watu 2180. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinumee iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinumee kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.